Afya ya Uzazi
Elimu
Ushauri
Holina Care
Pata taarifa sahihi za afya ya uzazi na mzunguko wa hedhi
Holina inakuletea bidhaa, vitabu, makala na video zinazokusaidia kufanya maamuzi bora kuhusu afya yako ya uzazi.
Elimu ya afya kwa uelewa bora — kwa maamuzi sahihi, shauriana na mtaalamu.
Hesabu Siku za Hatari
Kanuni ya 18 na 11 + usalama wa lazima (mwanzo wa hatari tunatoa siku 1).
Ingiza siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho na urefu wa mzunguko. Matokeo yatatoka kwenye popup nzuri (screenshot-friendly) yenye logo ya Holina.
Hii ndiyo siku ya 1 ya mzunguko.
Mfano: 31 = 22/12 hadi 21/01.