Hupati Ujauzito au Ukipata Unaharibika ? Hizi hormone ndizo Sababu kuu

09 Feb 2026
0

Je, umekuwa ukijitahidi kupata ujauzito bila mafanikio au umewahi kupata ujauzito unaoharibika mara kwa mara? Sababu inaweza isiwe unavyodhani. Katika video hii, tumeeleza kwa undani jinsi hormone imbalance inavyoathiri uwezo wa mwanamke kupata na kubeba mimba, dalili zake, na nini cha kufanya mapema kabla hali haijawa mbaya.

Acha Maoni
Maoni
Hakuna maoni bado.